Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo,Ingia hapa ujifunze

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;

  • Kuchoka choka sana bila sababu maalum
  • Kuuma mgongo au kiuno
  • Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
  • Kizunguzungu
  • Kukosa usingizi
  • Usingizi wa mara kwa mara
  • Maumivu makali sehemu ya mwili
  • Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
  • Kichefuchefu
  • Kiungulia
  • Tumbo kujaa gesi
  • Tumbo kuwaka moto
  • Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
  • Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
  • Kutapika nyongo
  • Kutapika damu au kuharisha
  • Sehemu za mwili kupata ganzi
  • Kukosa hamu ya kula
  • Kula kupita kiasi
  • Kusahahu sahau na
  • Hasira bila sababu.

Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.