DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA KUHUSU KUWA NA MAHUSIANO NA HAMISA MABETO SOMA ZAIDI HAPA

Diamond Platnumz ametolea ufafanuzi hiyo ishu na kusema “Hamisa nimeanza kumjua zamani sana kwasababu yupo katika industry hizi za kufanya fashion, nimekua nikimjua muda mrefu kidogo na sikuwahi kuwa na matatizo nae yoyote sababu tumekuwa ni watu tu ambao tunaheshimiana …..” 

‘Sina uhusiano wa kimapenzi na yeye, juzi kati alikua kwenye video yangu mpya nimefanya na Ray Vanny na nafikiri hiyo imechangia kuingiza hayo maneno, kufanya video Tanzania mara nyingi huwa inaleta manenomaneno’