STAA WA FILAMU ZA KIBONGO ELIZABETH MICHAEL a.ka LULU ATAJA WASANII WATATU ANAOWAKUBALI KWENYE BONGO FLEVA

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu amewataja wasanii watatu anaowakubali kwenye muziki wa Bongo Fleva.
Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “wasanii gani watatu anaowakubali kwenye Bongo Fleva?”
Lulu alijibu swali hilo kwa kuandika, “Beka, Maua Sama na Alikiba.”