Lady Jay Dee, Alikiba na Baraka The Prince Waongoza Katika Nyimbo Zilizodownloadiwa zaidi Mkito mwaka 2016
Mtandao huo umepost hiyo picha (hapo juu) kupitia twitter na kuandika:
Tunapofunga mwaka, hizi ni baadhi ya ngoma zilizowavutia wengi kwa mwaka 2016. Hebu tutajie zako tano ulizozikubali zaidi mwaka huu.
Kwa upande menaja na Alikiba na Barakah The Prince, Seven Mosha baada ya kuona taarifa hiyo ametweet:
Most downloaded @JideJaydee @BarakaThePrince @OfficialAliKiba
Mtandao huo kwa sasa ni mmoja kati ya mitandao mikubwa nchini Tanzania ambayo inategemewa na wasanii