ALIYOYAANDIKA SHAMSAFORD, KWENYE BIRTHDAY JOHARI CHANGULA


shamsafordSijawahi kujuta kukujua katika maisha yangu na ww ni mmoja wa watu walionipokea katika sanaa...wewe ni dada wa tasnia ya Filamu na nitaendelea kukuheshimu milele ...HAPPY BIRTHDAY MY KIPENZI, MY DADA. ....MUNGU akupe maisha marefu yenye baraka teleeee @joharichagula @joharichagula