CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (UKUTA)' MOTO KUWAKA NCHI NZIMA

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe.Freeman Mbowe, Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Mashinji ,Naibu Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mhe. Edward Lowasa na viongozi wengine waandamizi tayari wameshawasili ukumbini.