RIAS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU SUMAYE , ASEMA CHADEMA WANACHEZA MCHANGANI>>>

Kikwete: Ningeshangaa sana(Msindai) ungekaa muda mrefu kule, hufanani nako, hufanani nao
Wanacheza mchangani, 


"Mtu uliwahi kuwa waziri mkuu, sasa unagombea uenyekiti wa wilaya, sijui yeye na Kubenea atashinda nani!"