HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYA UKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI,KAMA WEWE NI MWANAUME HAKIKISHA UMESOMA NA KUELEWA

Usiige yale unayoyaona kwenye mikanda ya ngono ukahisi ni jambo zuri, kumbuka wale wanaoigiza mikanda ya xxx wapo kibiashara zaidi na sio kimapenzi……


Kwanza hebu tafakari mambo matatu yafuatayo…..

1. wanawake wanaenda breed kila mwezi…. Ila damu huwa ni chafu sana ndio maana hairuhusiwi kulala nae wewe unapata wapi ujasiri wa kumnyonya!!!!
2. Wanawake wengi wanatumia vipodozi na madawa mengi yenye athari wewe unajiweka kundi gani kwa kuyalamba na kuyameza hivi unayapenda kweli maisha yako na wanaokutegemea
3. Inawezekana mwanamke huyo ndo mara yako ya kwanza kukutana nae hujui aliwahi kuwa na nani huko nyuma wewe unakurupuka tuu na kutaka kuonesha ufundi wako….. huenda alikuwa na jamaa mwenye magonjwa ya ngozi kama ukurutu, malengelenge, fangasi na mengineyo….fikiria mara tatu kabla ya kuyaweka rehani maisha yako kwa mambo ya kijinga!!!!