Hizi ni baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ aizotupia mtandaoni kuonyesha mimba yake

Hizi ni baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ aizotupia mtandaoni kuonyesha mimba yake. Mastaa hao wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.