Shamsa Ford amwandika ujumbe mzito Mume wake.
shamsaford "kuna muda huwa najiuliza ulikuwa wapi. wewe ni mwanaume wa ndoto za maisha yangu.sioni kukuchoka wala kukuzoea. kila siku nakuona mpya katika maisha yangu.Rashidi wangu wewe ni wa thamani sana kwenye maisha yangu. Sijui na sitojali thamani wanaokupa watu wa nje..kwangu wewe ni zawadi tosha aliyonipa Mwenyezi Mungu. Nakupenda sana mume wangu zaidi ya wewe unavyonienda.Mungu azidi kukubariki na kukufanyia wepesi wa kazi zako. inshaallah wanaokudharau leo wakuheshimu kesho...HAPPY BIRTHDAY MY HUSBAND"