MANENO MAZURI ALIYOYANDIKA LULU KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM, SOMA HAPA

elizabethmichaelofficial Ushindi,Ushujaa Na umahiri hautokani Na mazuri/Watu wazuri waliokuzunguka bali Ni kinyume chake....Ushindi,Ushujaa Na umahiri unatokana Na magumu/changamoto zilizokuzunguka ktk maeneo mbalimbali,jinsi yako ya KUKABILI Na KUSHINDA ndio itakayo onyesha wengine Ushujaa Wako,Ushindi Wako Na Umahiri wako....Hakuna Ushujaa/Umahiri unaokuja bure Au kirahisi Na ndio maana wengi tunaowaona Kama mashujaa duniani Sio kwasababu ya walivyo Bali kwasababu ya WALIVYOPITIA,WALIVYOVIKABILI Na mpk KUVISHINDA.
Kikubwa Ni kuchukulia Changamoto/Matatizo Kama moja ya hatua tunazotakiwa kupita katika kufikia Tuliyokusudiwa,Ni ngumu Ila MUNGU atupe Neema ya kuelewa Na kukubališŸ™