Diamond Platnumz na Rayvanny WIMBO MPYA "salome" angalia video hapa na download video hapa
Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.aDiamond Platnumzpamoja naRaymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Laber ya WCB leo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘Salome‘