Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi, angalia tukio zima hapa

Tovuti hii inamtakia kila la heri wanandoa hao.
 STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford mchana huu amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.
Awali, Shamsa alidumu katika penzi na Dickson Matoke ‘Dick’ na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Terry na kisha  kufunga ndoa ya kimila nyumbani kwa mwanaume huyo, Tarime mkoani Mara ila baadaye waliachana na kuangukia kwa staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambaye penzi lao halikudumu.
1