STAA WA BONGO MUVI ELIZABETH MICHAEL MAARUFU KAMA "LULU" AFUNGUKA NA KUSEMA ANAHITAJI MTOTO

Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.
“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.