VIDEO MPYA KUTOKA KWA FEZA KESSY, ANGALIA( Feza - Walete (Official Music Video)) VIDEO NA DOWNLOAD WIMBO HAPA

Mrembo pamoja na mtangazaji wa radio ambaye pia aliwahi kushiriki shindano la  Big Brother Africa 2013 Feza Kessy, na msanii wa bongofleva amekuja na hii video nyingine ya wimbo wake  unaoitwa Walete, ambayo amefanya na video director Hanscana. Fezaanatukaribisha kuitazama mtu wangu.