Maua Sama Featuring Ben Pol - This Love (Official Video) ,Angalia video na mashairi na download wimbo hapa

Imma The Boy!
Keeping the Good Music Alive!!
[Ben Pol
Naona raha, nimepata furaha maishani
Na kila saa, naona nuru iking'ara moyoni Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
Tizama leo watuona ?vichwae na matuni?!

[Maua Sama]
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami Daima nami
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami
Daima nami

[Ben Pol & (Maua Sama) Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Bustani yangu ing'ae siku zote)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Unilinde tusitengane maisha yote)

[Maua Sama]
Tukigombana haina maana kuyaanika Majirani wajue, kazi bure
Nimekukosea, umenikosea
Hakuna binadamu aliekamilika
Muhimu msamaha na kutambua
Ya kwamba moyo wangu umekuchagua
[Ben Pol]
Because this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be
Amini I'll be your baby Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami

[Maua Sama & (Ben Pol)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Bustani yangu ing'ae siku zote)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby) Tulia kwangu (Unilinde tusitengane maisha yote)
[Ben Pol]
Because this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
[Maua Sama]
'Cause this love was meant to be
Niamini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be Amini I'll be your baby
I'll be your baby
You'll my baby
So never leave me, baby
Pleeease!
'Cause this love was meant to be Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
'Cause this love was meant to be
Amini I'll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami Daima nami
Keeping the Good Music Alive! Cc. jje's