MFANYABIASHARA WA MJINI MOSHI AJILIPUA KWA PETROLI NJE YA NYUMBA YAKE ,ANGALIA TUKIO ZIMA HAPA>>>

Mfanyabiashara wa mjini Moshi, Romani Shirima (74), amejiua kwa kujilipua kwa petroli nje ya nyumba yake.

Habari kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo zinasema mfanyabiashara huyo alijifunika kwa blanketi, kisha kujimwagia petroli na kutumia kibiriti kuwasha moto ambao ulimlipua na kusababisha kifo chake.