MUIGIZAJI WA FILAMU MREMBO JACQUILINE WOLPER AMEJAA MAPOVU NA KUWATOLEA UCHOVU WATU WANAOEDIT PICHA ZAKE, KAANDIKA MANENO MAKALI KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

wolperstylish
Nimekaa kimya watu wananitafuta kuniedit na mapicha ya ajabu ambayo hayana kichwa masikio wala vikojoleo😏😏hivi kunieditisha vile nimegangamala km mwanajeshi anasubiri kuapishwa ni nini atiiii???Alafu kingine kitovu changu sijakitoboa wala nn kwenye picha mlio edit naona mkaamua mnitoboe na kitovu haya kitovu changu hiko hapo nimewapa chance ya kukiona uhalisia wake kama juice ya Bungo iliyochanganyika na mbilimbi full mgwaduko😂😂Ziwa nimewekwa limetepeta kama chupi iliyokosa mpira😔😔😔haya sasa hayo ndo maziwa yangu yamesimama kama mnara wa airtel😂😂yani ukibeep yanapiga na vocha unaongezewa😜😜jamani all in all ni kwamba habari za kuzalilishana sipendi na tuheshimiane😥 

COMMENTS ZA WATU