SHILOLE AFUNGUKA KUHUSU TATUU ZAKE MPYA , ZIMECHORWA KWA LUGHA YA KICHINA NA KIINGEREZA ,AWAACHA MASHABIKI MIDOMO WAZI....


“Tatuu zangu zimechorwa kwa lugha ya Kichina na Kiingereza, hii ya bega la kulia ni jina langu la Shishi Baby na hizi nyingine za Kichina ni ala za muziki kuonesha hisia zangu za dhati juu ya muziki na nimefuta zile za zamani zote,” alisema Shilole