VIDEO MPYA:MSAM BABY-STEP BY STEP (OFFICIAL MUSIC VIDEO) ANGALIA NA DOWNLOAD VIDEO HAPA



Baada ya hit song yake ya mabawa ambayo imefanya vizuri kwenye radio na Tv stations mbalimbali  mkali kutoka bongoflevani Msami baby amekuja ni hii video mpya ya wimbo wake wa “Step by step” na anatukaribisha kuiangalia  mtu wangu.