FILAMU YA MJOMBA ,SOMA KISA CHA FILAMU HII NA DOWNLOAD PART1 & 2 HAPA

Mjomba ni filamu ya kusisimua, Inayohusu mapenzi, chuki, uaminifu, kutoaminiana na mangine mengi. Mapenzi ni kitu kizuri pale watu wawili wanakaa pamoja na kuelewana, kueshimiana lakini, kukiwa na usaliti, mapezi ni kitu baya sana na kinaweza kutoa uhai wa mtu. Filamu hii inaelezea jinsi usaliti na kutoaminiana kunaweza kuwagarimu watu wawili au zaidi na kuelekea hadi mauaji.