Showing posts with label Filamu. Show all posts

Angalia Video Eric Omondi alivyoirudia sehemu ya movie ya ‘The Gods must be crazy’



Read More »

ERIC Omondi Amekuja na Mpya ,Aigiza Movie ya Sarafina Kwa Dakika Tisa angalia video Hapa

Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..

Hii ni Movie ya Sarafina ila kaiigiza ndani ya dakika tisa tu

Enjoy!

Read More »

Angalia na download muvi Latifa Part 2 (Full Bongo Movie)







Read More »

Angalia na download muvi Latifa Part 1 (Full Bongo Movie)



BOFYA>>>>HAPA<<<KUDOWNLOAD Latifa Part 1 (Full Bongo Movie)



BOFYA>>>>HAPA<<<KUDOWNLOAD Latifa Part 1 (Full Bongo Movie)


BOFYA>>>>HAPA<<<KUDOWNLOAD Latifa Part 1 (Full Bongo Movie)



Read More »

DOWNLOAD MUVI YA JET LI -FIST OF LEGEND IMETAFSILIWA KWA KISWAHILI


DOWNLOAD MUVI YA JET LI -FIST OF LEGEND IMETAFSILIWA KWA  KISWAHILI




Read More »

INTO THE BADLANDS SEASON ONE 01 Imetafsiliwa kiswahili, Series Kali Haijawahi kutokea, Angalia na Download Episode 1 Hapa


ANGALIA VIDEO HAPA CHINI



Read More »

TAZAMA TRAILER ILIYOVUJA YA FILAMU YA BIFU ALIYOCHEZA Fid Q NA SUGU KABLA YA KUWA MASTAA



Kabla ya kupata tobo na kuwa mmoja wa wana hip hop wanaoheshimika zaidi Tanzania, Fid Q aliwahi kufanya mishe mishe mingi ikiwemo kuwa muigizaji wa ‘bongo movie.’

Yeye na Sugu waliigiza filamu ya maisha ya muziki iitwayo Bifu. Kutokana na kuwa na kiwango cha chini, Fid Q hataki uione filamu hiyo kwakuwa anahisi kwa alipofika inamtoa nishai!

“Kiukweli ROHO IMENIUMA sana kukuta YouTube bado hawajaitoa hii trela,” Fid alimjibu mpiga picha maarufu MX Carter aliyeweka link ya trailer yake kwenye Twitter.

“Daah!halafu Jana nimekutana na moja wa directors halafu akanipa business card yake ili ni mtafute..mimi?,” ameongeza.

“Ile subtitle ndo nilikua sitaki kabisa muistukie.. Ni ukweli TULIKOTOKA NI MBALI.. lakini wengine TUMETOKEA MBALI ZAIDI. Kinachoniuma zaidi waigizaji wote hatukupata access ya kuingia editing room.Tulikutana na filamu yetu mtaani.”

Filamu ya Tanzania ya maisha ya muziki iliyowahi kufanya vizuri zaidi ni Girlfriend ambayo iliwahusisha wasanii kama TID, Monalisa, AY, Saida Simba Kilumanga na wengine.

ANGALIA TRAILER HAPA CHINI

Read More »

FILAMU YA KUSISIMUA YA ANKO KIEPE :DOWNLOAD PART 1 & PART 2 HAPA

Anko Kiepe – Wakati wingine wema na mapenzi yako kwa viumbe unaweza kukupitisha katika mateso makubwa , haya ndio yaliyomkuta Anko Kiepe na kujikuta akiishi sehemu ya maisha yake jela.
  DOWNLOAD PART 1>>>>>>HAPA<<<<<

DOWNLOAD PART 2>>>>>HAPA<<<<<

Read More »

FILAMU YA MJOMBA ,SOMA KISA CHA FILAMU HII NA DOWNLOAD PART1 & 2 HAPA

Mjomba ni filamu ya kusisimua, Inayohusu mapenzi, chuki, uaminifu, kutoaminiana na mangine mengi. Mapenzi ni kitu kizuri pale watu wawili wanakaa pamoja na kuelewana, kueshimiana lakini, kukiwa na usaliti, mapezi ni kitu baya sana na kinaweza kutoa uhai wa mtu. Filamu hii inaelezea jinsi usaliti na kutoaminiana kunaweza kuwagarimu watu wawili au zaidi na kuelekea hadi mauaji.



Read More »

FILAMU YA MAMA NTILIE PART 1 & 2 ,DOWNLOAD FILAMU HII HAPA

Mama Ntilie, Ni filamu ya kusisimua, Mboni ni msichana mzuri anayeishi na mume wake pamoja na mdogo wake. Wanafanya biashara ya mama ntilie, lakini mtaji na faida zake zote. Zinaishia kwa mume wake kwa matumizi yake binafsi. Sasa mume anakula mtaji wote. Nini kinatokea? Fuatilia kisa chake..


KUDOWNLOAD PART 1 BOFYA >>>>HAPA<<<<<<<<<<



KUDOWNLOAD PART 2 BOFYA >>>>HAPA<<<<<<<<<<






Read More »