VICHEKESHO :CHEKA MPAKA MBAVU ZIKUUME, ANGALIA VICHEKESHO HAPA>>>>>


1.
Maswali haya je una majibu? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]
 1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi? 2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini baa kuna parking? 4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hivo? 5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako... 


2.
Taxi :Mwanamke aliingia kwenye tax akiwa hana nguo,kama alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?


3.
Siri Baba: mwanangu, enhe shika hii 500Tsh usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl. Mtoto: sitaki, tatizo we baba ni mbahiri sana mwenzio mama akilala na dereva ananipaga 1,000Tsh.

4.
Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA: WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform 
WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi WAPEMBA: Mama Ali panua paja mti waja! 
WAZARAMO(hamna tafsida)andaa k*#, mb*$$ yaja

5.
Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"


6.
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!


7.
Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana usiku, nilisikia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Usikubali hata kdogo"

8.
Mchaga: Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi... Wamefunga duka?


9.
Kimombo na sms Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"


10.
Vibweka vya housegirl Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?" Ndipo hoousgirl akadakia na kusema "mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo."