VideoMPYA : Baraka Da Prince na Alikiba ,Angalia video na Download video hapa


Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016 kwenye studio za producer Emma The Boy  na wakali kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 Baraka Da Prince na Alikiba