VideoMPYA: Davido anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya,Angalia na Download video hapa

Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.