WIMBO MPYA Qboy ft Rayvanny & Shetta MUGACHERERE (Official Video) ANGALIA NA DOWNLOAD VIDEO HAPA
Mkali mwingine kutoka lebel ya WCB Qboymsafi ambaye anahusika kama designer kwenye mavazi anayoyavaa Diamond Platnumz anatualika leo kwenye video ya mdundo wake mpya wa Mugacherere aliowashirikisha wakali wengine kutoka BongoflevaiRayvanny na Shetta