Benki kuu ya Tanzania yatoa Taarifa juu ya uvumi wa Noti Ya Shilingi 500 kutotumika tena
Ukweli ni kwamba noti ya shilingi 500 itaendelea kuwepo katika mzunguko sambamba na ile sarafu ya shilingi 500 hadi pale noti hiyo itakapotoweka mikononi mwa wananchi. Tafadhali mpuuze taarifa hizo sio za ukweli.
Marcian Kobello.
Mkurugenzi wa Huduma za kibenki- BOT