Bodi ya Mikopo kufanya msako nchi nzima kwa waajiri sugu wasiowasilisha makato na majina ya wadaiwa
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Badru amesema kikosi kazi hicho kitaanza kazi Januari 2, mwaka 2017 na kitafanya kazi hiyo kwa siku 14 mfululizo wakipita ofisi moja baada ya nyingine.
Chanzo: Mwananchi