Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha ,Dangote wanataka gesi ya bure, hawatampa
Waziri wa viwanda na biashara baada ya kudanganya jana kuwa hawana tatizo lolote na Dangote kufuatia kusimamishwa kwa uzalishaji wa saruji leo amegeuka na kukiri walikuwa wanaficha.
Amedai kuwa Dangote anataka apewe gesi ya bure lakini hawatatoa kwa kuwa hiyo itakuwa ni upendeleo na makampuni mengine hayatachezewa fair.
Amesa makampuni yote yanapaswa kutumia makaa ya mawe hapa nchini ili kuwe na usawa kwa kila mtu kwa kuwa soko moja