Je wajua kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao? soma hapa upate siri


1. Wanawake wanene wana furaha

Wembamba haujawahi kuhusishwa na kujamiiana. Hata katika nyakati za kale, watu waliamini wanawake wanene walikuwa wazuri katika kufanya mapenzi. Miili ya wanawake wanene inatoa homoni nyingi ya endorphin ambayo husababisha furaha na ambaye inachochea hisia za ngono.

2. Wanawake wanene wana afya

Umbo la unene linaashiria afya na uzazi. Kiuno chembamba na makalio mapana humfanya mwanamke kuonekana mkamilifu kiafya na wa kuvutia.

3. Furaha maishani ni furaha kitandani

Kuna kanuni moja hapa: ikiwa mwanamke ana furaha maishani basi atakuwa na furaha kitandani. Mwanamke mwenye furaha hana vizuizi kwani hujua analotaka na jinsi atakavyoridhika.