Mabinti Michepuko Zingatieni Ushauri huu
Kuna kisa nimeshirikishwa kupitia njia nyingine za mawasiliano ambapo akanieleza kisa kina msibu sasa hivi yeye na mchepuko wake naweza sema ex mchepuko baada ya kuamua kurudi katika njia kuu… mwanaume yupo humu kwa heshima yako mkuu sitakutaja… binti nimeshaongea nae kaanza kuelewa .
Kisa chenyewe ni hiki jamaa alikuwa na mchepuko wake japo ana familia yake na anaipenda pia ila kuna kutoelewana kulitokea ndani ya nyumba akaamua kuchepuka kutuliza mawazo, japo aliongeza gharama zilikuwa kubwa ha hahaha a nacheka ningemtimua mie sitaki kuwa na mwanaume mchepuko huna hela.. sasa akaamua kumwambia binti wakati wa sikukuu naomba tuachane endelea na maisha yako mi narudi kwenye familia yangu wacha weeee binti hakuamini sababu alikuwa kasha jimilikisha akijua she different from that wife of him… sasa binti kamwambia jamaa anataka kujiua na ameshajaribu once kujiua ndiyo nikaletewa nikamchamba etii oooh nimemwacha boyfriend wangu kisa huyu ha hahaha mume wa mtu ni wa mtu tafuta wako …. Kutokana na haya naomba niwafundishe binti ambaye ni mchepuko weka akilini yafuatayo yatakusaidia kama yanavyonisaidia mimi :-
Mume mtu ni wa mtu hawezi kuwa wako hata awe kaburini tafuta wako ..
Usiache boyfriend wako kisa mume wa mtu ha hahaha we ni sawa na bambucha kwa bata tu lakini lazima atarudi kwa mkewe one day sasa we leta dharau kwa vipesa vidogo ujione special ha hahaha we jijue utatemwa mda wowote. HESHIMU BOYFRIEND WAKO NA UMRI HAUSIMAMI NA WAZURI WANAZALIWA KILA SIKU.
Usimpende mume wa mtu kwa moyo wako wote sababu we hakupendi zaidi anakudanganya anakupenda ili akukule tu na akisha choka hicho kidude ujue unatemwa…KUWA EXPENSIVE USIKUBALI KULIKA KILA SEHEMU
Usitembee na mwanaume wa mtu anayemdharau mke wake ukadhani we ni special its just a matter of time ipo siku na wewe atakudharau tu..KARMA IS A BITCH
Usimzalie mume wa mtu kwa kigezo cha kuwa ili awe na wewe ha haha mimba ikifikisha miezi mitano ni kichefu chefu kwake ankutafutia mchepuko mnakuwa watatu Timu inazidi kuongezeka kuwa makini…..BINTI MIAKA HAISIMAMI UKISHAZAA MAJUKUMU HAYO HUWEZI TENA KULA NAYE BATA KILA BAR ATAKUAMBIA LEA MTOTO SASA HAPO ANATAFUTWA KIBINTI KIDOGO ZAIDI YAKO..
Mwanaume ambaye anakutunza wewe familia yake haijali ndugu machozi ya mkewe hayaendi bure kuwa hata mnafki sisitiza atunze familia yake ….
Waaume jitahidi kuwa wazi hata kwa vitendo kuwa familia yako ni muhimu kuliko yeye si anakupigia simu sa nane usiku upo tayari utoroke kitandani kwa wife ukaongee naye huko huo ni ufala …ACHENI KUTUKUZA MBUNYE.
Chepuka usiumize familia yako kama huna pesa za kutosha acha kuchepuka.
KUCHEPUKA SIYO SULUU YA MATATIZO NDANI YA NYUMBA ZAIDI UNAONGEZA SOLVE HALAFU CHEPUKA KWA UTASHI WAKO TU…….
Niwatakie kila la kheri mjirekebishe .