Miss Tanzania `2010 aachia wimbo mpya GENEVIEVE - NANA (Official Audio)



Genevieve Mpangala ni Miss Tanzania 2010 na kwa time hiyo hakutuonyesha kipaji chake kingine lakini leo Dada mkuu huyu wa zamani kwenye Sekondari aliyosoma ameamua kutufungulia, unaweza kusikiliza ngoma yake mpya hapa chini na kisha usisahau kuacha comment ili akipita ajue watu wamempokeaje
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD GENEVIEVE - NANA (Official Audio)