Alichosema Irene Uwoya kuhusu Wanaume wenye sura mbaya, asema ,asema hajawahi kuvutiwa na wanaume wenye sura nzuri
Kitu ambacho hamkijui kuhusu mimi ni kuwa SIJAWAHI kuvutiwa na wanaume wenye mionekano mizuri, sielewi ni kwanini lakini wanaume wenye sura mbaya huwa wanaamsha hisia zangu za KIMAPENZI...#roadtoireneuwoyasvalentinesspecial @zaimbaji @zamaradimketema@loydemich @officialagnes1 @mariamismailp