Angalia video ya Mchungaji Gwajima Aliposema Atamfufua Amina Chifupa
Tujikumbushe Gwajima Alipotoa kauli ya kumfufua Amina Chifupa, Nimekuwekea Video kuhusu Kumfufua Amina Chifupa aliyefariki mda mrefu uliopita. Askofu Gwajima anadai Moja ya mtu aliyerudishwa kutoka kwenye msukule ndio aliesema alimwacha Amina Chifupa akiwa huko kwenye misukule